Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Mabadiliko ya Mahali pa Kufanyia Usaili Ajira za Ualimu Dar es salam

Mabadiliko ya Mahali pa Kufanyia Usaili Ajira za Ualimu Dar es salam

MABADILIKO YA MAHALI PA KUFANYIA USAILI WA KUANDIKA KADA ZA UALIMU MKOA WA DAR ES SALAAM

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwajulisha waombaji kazi wa kada za Ualimu wanaofanyia saili zao Mkoa wa Dar es
Salaam kuwa, Usaili wa kuandika utafanyika katika Shule ya Sekondari Jitegemee (Mgulani Jkt Dar es Salaam) badala ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es salaam, kama ilivyooneshwa kwenye Tangazo la awali la kuitwa kwenye Usaili.

Kada zote zitakazofanya Usaili Tarehe 29 Januari, 2025, 05 Februari, 2025, 12 Februari, 2025 na 19 Februari, 2025 mnatakiwa kwenda katika Shule ya Sekondari Jitegemee
(Mgulani Jkt Dar es Salaam) kwa ajili ya kufanya Usaili.

Aidha, muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

PAKUA PDF KUSOMA ZAIDI

Leave a Comment