MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI WA OATS KWA BAADHI YA KADA
Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kuandika kwa njia ya mtandao kwa mwezi Machi 2025, wanajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za usaili kwa baadhi ya kada.Mabadiliko hayo yameoneshwa kwenye akaunti za waombaji kazi wote ambao tarehe zao za usaili zimebadilika.
Leave a Comment