Matokeo ya Ngao ya Jamii Tangu Kuanzishwa Kwake Hadi Sasa: Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea mashindano ya kumtafuta bingwa wa Ngao ya Jamii 2024, tumekuandalia takwimu za mabingwa wa ngao jamii wa miaka yote. Je ni timu gani imeshinda ngao ya jamii mara nyingi?
Mabingwa wa Ngao Jamii hadi sasa:
Simba 10
Yanga 7
Azam 1
Mtibwa 1
MATOKEO NGAO YA JAMII
2001 Yanga 2-1 Simba
2002 Simba 4-1 Yanga
2003 Simba 1-0 Mtibwa
2004 HAIKUFANYIKA
2005 Simba 2-0 Yanga
2006-2008 HAIKUFANYIKA
2009 Mtibwa 1-0 Yanga
2010 Yanga 0-0 Simba (penalti 3-1)
2011 Simba 2-0 Yanga
2012 Simba 3-2 Azam
2013 Yanga 1-0 Azam
2014 Yanga 3-0 Azam
2015 Yanga 0-0 Azam (penalti 8-7)
2016 Azam 2-2 Yanga (penalti 4-1)
2017 Simba 0-0 Yanga (penalti 5-4)
2018 Simba 2-1 Mtibwa
2019 Simba 4-2 Azam
2020 Simba 2-0 Namungo
2021 Yanga 1-0 Simba
2022 Yanga 2-1 Simba
2023 Simba 0-0 Yanga (penalti 3-1)
Leave a Comment