Manispaa ya Temeke ni moja ya Halmashauri chache kongwe zenye utajiri na historia ambayo imechangia kuleta mabadiliko kisiasa, kiuchumi na kijamii Nchini. Kwa ujumla Temeke imekuwa kitovu cha upatikanaji wa uhuru wa Tanzania bara, pia kwa ukuaji wa michezo, utamaduni na maendeleo ya kilimo katika jiji la Dar es Salaam.
Manispaa ya Temeke ina eneo la ukubwa wa kilomita za mraba 240 iliundwa 1999 chini ya sheria ya Serikali za mitaa (mamlaka ya miji) ya mwaka1982.
BONYEZA HAPA CHINI KUPAKUA PDF
Leave a Comment