Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 15 hadi 17 Mei, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na. 315 siku ya Jumatatu, tarehe 2 Juni, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa
kabla ya kupewa barua za ajira.
PAKUA PDF HAPA CHINI
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 29-05-2025
Leave a Comment