TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe Mei 15, 2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
PAKUA PDF HAPA CHINI
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 02-05-2025
Leave a Comment