Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano 2025/2026
Uchaguzi wa Kidato cha Tano Tamisemi 2025/2026 unatarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Mtihani wa kidato cha nne ulihitimishwa kati ya Oktoba na Novemba, 2024.
Hili zoezi la uchaguzi wa kidato cha Tano na vyuo vya kati hufanywa na Ofisa Ya Tawala za Mikoa Na Serikali za Mitaaa (TAMISEMI)
Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato cha tano 2025/2026 na waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2025) yatangazwa, wanafunzi wataweza kuwaangalia kwenye tovuti rasmi ya selform.tamisemi. nenda.tz.
CHAGUA MKOA ULIKOSOMA
| ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
| GEITA | IRINGA | KAGERA |
| KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
| LINDI | MANYARA | MARA |
| MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
| MWANZA | NJOMBE | PWANI |
| RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
| SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
| TABORA | TANGA |
Leave a Comment