Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa na TAMISEMI Kujiunga na Programu Mbalimbali kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026. Unashauriwa Kuingia Kwenye http:/mocuas.mocu.ac.tz kwa kutumia namba yako ya Form Four S0000-0000-2024 Kama Jina la Mtumiaji (User Name) na Jina Lako la Mwisho Likiwa kwa Herufi Kubwa Kama Nywila (Password) kwa Uthibitisho ili Uweze Kupakua Barua ya Kudahiliwa (Admission Letter) na Fomu yenye Maelekezo ya Kujiunga (Joining Instructions Form).
Leave a Comment