Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili siku ya tarehe 23 Februari, 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
PAKUA PDF HAPA CHINI
Leave a Comment