MWALIMU MWANDAMIZI TAALUMA
1. Atakuwa mshauri wa Mwalimu Mkuu katika mambo yote yanayohusu masomo ya darasani. Atakuwa Katibu wa Kamati ya Taaluma ambayo inawaunganisha wakuu wa idara zote za masomo.
2. Atakuwa Katibu wa Kamati ya Taaluma ambayo inawaunganisha wakuu wa idara zote za masomo.
3. Atashirikiana na wakuu wa idara mbalimbali za masomo katika kuwagawia walimu vipindi vya kufundisha.
4. Atapokea makadirio ya matumizi kutoka kwa wakuu wa idara za masomo na kuyaunganisha pamoja na kumwezesha Mwalimu Mkuu kutayarisha makadirio yake ya mwaka hasa kuhusiana na kifungu cha vifaa vya darasani.
Leave a Comment