Maswali ya Interview TRA Kujiandaa na Usaili 2025. Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (kwa Kiingereza: Tanzania Revenue Authority; kifupi: TRA) ni shirika la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanzishwa na Sheria ya Mapato ya Tanzania, Cap. 339 ya mwaka 1995 na kuanza shughuli zake rasmi tarehe 1 Julai 1996.
PAKUA PDF HAPA CHINI
Katika kutekeleza kazi zake kisheria, TRA inawajibika, katika kusimamia na kutoa sheria au masharti maalum ya sheria zilizowekwa katika ratiba ya kwanza ya Sheria, na kwa lengo la sheria hiyo TRA ina kazi ya kutathimini, kukusanya, na kuhifadhi mapato yote kama ambavyo sheria hizo zinavyosema na ni kwa niaba ya serikali.
Leave a Comment