Matokeo ya kidato cha sita 2025 Tanzania: Unaweza kuangalia matokeo ya kidato cha sita 2025 kwa kutembelea tovuti rasmi ya NECTA, Bonyeza linki hapa chini:
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Njia ya SMS
- Piga *152*00#
- Chagua namba 8. ELIMU
- Chagua namba 2. NECTA
- Chagua aina ya huduma 1. MATOKEO
Chagua aina ya Mtihani 2. ACSEE - Ingiza Namba ya Mtihani na Mwaka Mfano: S0334-0556-2019
- Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa SMS ni Tshs 100/=)
- Baada ya kukamilisha malipo, utapokea ujumbe mfupi wenye matokeo.
Leave a Comment