Umuhimu wa Mtihani wa Mock kwa Wanafunzi
1. kujitathimi
2. kujifunza mbinu za mtihani
3. Kuimarisha ujuzi
Matokeo ya Mock Darasa la Nne Mikoa Yote Tanzania 2025
Shule za msingi Tanzania zimetangaza matokeo ya darasa la Nne kwa mitihani ya mock iliofanyika katika shule mbalimbali za msingi ili kupima uwezo na ufaulu wa wanafunzi kuelekea mtihani wa mwisho wa darasa la saba itakayo fanyika mwezi wa Tisa 2025
Matokeo ya mock kwa darasa la saba unaweza kuyapata kupitia tovuti ya mkoa husika au kwenda shuleni kupata matoke hayo au kuwasiliana na shule husika ili kukupatia matokeo ya mwanafunzi.
Leave a Comment