Matokeo ya Simba vs Dodoma Jiji FC 14.3.2025

Simba na Dodoma Jiji FC wametokaje, Matokeo ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji FC leo. Wawakilishi pekee waliobaki kimataifa kwa msimu wa 2024/25 Simba SC wanaokutana na Dodoma Jiji FC leo uwanja wa KMC Comlex

Muda: 10:00 jion

Uwanja: KMC Comlex

Mashindano: Ligi Kuu 2024/25

Matokeo: FT Simba 6-0 Dodoma Jiji

Leave a Comment