Jinsi ya Kuangalia Orodha Rasmi ya Waliofaulu Usaili TRA kwenda Oral Interview 2025: Matokeo ya usaili wa maandishi wa TRA Aprili 25, 2025. Usaili huu wa maandishi ulifanyika kati ya Machi 29 na 30, 2025, na matokeo yatapatikana kupitia tovuti rasmi ya TRA: www.tra.go.tz. Kabla ya kutangazwa, matokeo hayo yatakaguliwa na washauri elekezi kutoka NBAA.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Usaili TRA 2025
Watahiniwa waliopitia usaili wanapaswa kufuata hatua hizi ili kupata matokeo yao:
1. Tembelea tovuti rasmi ya TRA: www.tra.go.tz
2. Nenda kwenye sehemu ya “Matangazo” au “Ajira”
3. Pakua orodha ya waliofaulu na uangalie jina lako
Leave a Comment