Matokeo Yanga SC vs. Mashujaa 23.2.2025

Matokeo ya Leo Yanga dhidi ya Mshujaa FC, Yanga na Mashujaa wametoka ngapingapi? haya ni maswali ya mashabiki baada ya mchezzo kuisha wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Yanga dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma.

Taarifa za Mchezo

Muda: 10:15

Uwanja: Lake Tanganyika

Mashindano: Ligi Kuu 2024/25

Matokeo: FT Mashujaa 0:5 Young Africa

Leave a Comment