Mechi ya Yanga SC dhidi ya Tabora United Leo Saa Ngapi?, Mechi ya Yanga na Tabora United itaanza saa ngapi?. mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Yanga SC wanatarajia kuwavaaa Tabora leo uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Yanga wanaenda katika mchezo huu, wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mzungo wa kwanza kwa magoli matatu (3). Mchezo huo utaanza saa 10:15 jioni.
Taarifa za Mechi
Muda: 10:15 jioni
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi
Mashindano: Ligi kuu 2024/25
Leave a Comment