Mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC Leo Saa Ngapi?, Mechi ya Simba na Azam itaanza saa ngapi?. Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatarajia kuwavaaa Azam leo uwanja wa Benjamen Mkapa maarufu Lupaso.
Mechi ya Simba dhidi ya Azam FC itaanza saa 1:00 usiku.
Taarifa za Mechi
Muda: 1:oo usiku
Uwanja: Benjamen Mkapa Stadium
Mashindano: Ligi Kuu 2024/25
Leave a Comment