Mechi ya Simba SC dhidi ya Coastal Union Leo Saa Ngapi?, Mechi ya Simba na Coastal Union itaanza saa ngapi?. Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatarajia kuwavaaa Coastal Union leo uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium .
Mechi ya Simba dhidi ya Coastal Union itaanza saa 10:00 jion.
Taarifa za Mechi
Muda: 10:00 jion
Uwanja: Sheikh Amri Abeid Stadium
Mashindano: Ligi Kuu 2024/25
Leave a Comment