Mechi ya Derby Simba vs Yanga inaanza saa ngapi leo? Derby ya Kaariakoo inachezwa saa ngapi?. Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatarajia kuwavaaa watani wao wa jadi Yanga siku ya Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa, uliojulikana zamani kama Uwanja wa Taifa.
Derby hiyo ya Kariakoo Simba SC vs. Yanga SC itachezwa saa 1:15 jioni.
Leave a Comment