Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Mfano wa Barua ya Kuomba Mafao NSSF

Mfano wa Barua ya Kuomba Mafao ya Kuacha/Kuachishwa Kazi NSSF

Fata hatua hizi kupata mafao yako NSSF

1. Chukua hiyo barua ya kuacha/kuachishwa kazi

2. Nenda tawi lolote la NSSF, utapewa fomu ya viambatanisho (picha tatu, NIDA, bank statement na hiyo barua) Ndani ya siku 15 mpaka mwezi unapewa mpunga wako.

Kumbuka

Mwanachama atalipwa asilimia 33.3 ya mshahara wake aliokuwa anapata wakati akiondoka kwenye ajira. Malipo hayo yatalipwa kwa kila mwezi mfululizo kwa kipindi kisichozidi miezi sita ndani ya mwaka mmoja. Malipo ya kila mwezi yatakoma iwapo mwanachama atapata ajira

Mwanachama ambaye atakuwa hajatimiza michango ya miezi 18 atalipwa mkupuo wa asilimia hamsini (50%) ya jumla ya michango yake.

MFANO WA BARUA YA KUPATA MAFAO NSSF

Leave a Comment