Hii hapa SAMPLE ya Barua ya Kuomba Kazi Jeshi la Polisi na Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi Ajira Jeshi la Polisi 2025. Jeshi la Polisi limetoa utaratibu wa kutuma maombi ya ajira Jeshi la Polisi ambao unamtaka muombaji kuandika Barua ya Mkono.
Utaratibu wa kutuma Maombi
1. Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA. Barua hiyo iambatishwe kwenye maombi ikiwa kwenye mfumo wa ‘pdf’.
2. Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) unaopatikana kwenye kiunganishi (link) cha tovuti ya Jeshi la Polisi (https://ajira.tpf.go.tz).
Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa.
Mfano (Sample) ya Barua ya Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi
(JINA LAKO)
S.L.P 100;
SINGIDA.
21/03/2025
MKUU WA JESHI LA-POLISI TANZAMA,
MAKAO MAKUU YA TESHI LA POLISI,
S. L. P 9GI,
DO DOMA .
Ndugu,
YAH: MAOMBI YA KAZI JESHI LA POLISI TANZAMIA
Husika na Kichwa ehą habari hapo fuu, Mimi (Tina lako) kijana mwenye umri wa miaką ishirini na moja ninaomba nafari ya kujiunga na Jeshi la PolISi katika nafani ya (Unataja fani yako kama ipo kwenye orodha ya fani zilizoorodheshwa kwenye Tangazo la Ajira).
Mimi ni mtanzania na ninakidhi sifa zote kama zilivyoorodheshwa katika Tangaz0 la kazi na ninahaidi kulitumikia Taifa langu katika hali yoyoke na malali popote ndani ya Nchi yangu.
Nimeambatanisha vivuli vya vyeti vinavyohitajika nyuma ya barua hii. Nina imani ombi langu litakubaliwa.
Wako katika Ujenzi wa taifa.
(Sahili yako)
(Jina lako)
(Namba Yako ya Simu)
Kumbuka:
Hii barua unatakiwa uandike kwa mkono.
Leave a Comment