Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier League. Msimamo NBC Tanzania Premier League NBC 2024/2025 Table Standings, Umekuja na sura mpya baada ya Simba kupata sare kwenye mchezo wake zidi ya Azam ambao uliisha kwa kufungana mabao mawili kwa kila timu. Matokeo haya yamempa nafasi bingwa mtetezi young Africa kuongoza tena ligi kuu Tanzania kwa utofauti wa poin Nne huku mpinzani wake Simba akiwa na michezo m iwili mkononi zidi ya Coastal Union na Dodoma jiji.
NBC Premier League 2024/2025 Table Standing on March 2025
Standings provided by Sofascore
Leave a Comment