Mwongozo wa Udahili kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 (Admission Guidebook for 2025/2026 Academic Year). Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa Udahili wa wanafunzi kwa Ngazi ya Astashahada na Stashahada machi intake umefunguliwa rasmi kuanzia tarehe utaanza tarehe 10 hadi 28 Februari, 2025.
Pakua Mwogozo a Udahili hapa chini:
Leave a Comment