Kampuni ya ulinzi LAKEZONE SECURITY GUARD inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi zifuatazo;
1. Ulinzi (security)-30
SIFA
Awe mtanzania wa kuzaliwa
Umri kati ya miaka 20 hadi 50
Elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
2. Wasimamizi wa walinzi (supervisor)- 6
SIFA
Umri kuanzia miaka 30 hadi 55
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Awe na leseni ya udereva
3. Afisa masoko (marketing officer) – 3
SIFA
Elimu ngazi ya astashahada/stashahada/shahada
Umri miaka 35 hadi 55
Awe na uzoefu na masoko.
MAELEZO YA JUMLA KUOMBA KAZI
Barua ya maombi ya kazi.
Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa na wadhamini watatu.
Nakala ya vyeti vya elimu, ujuzi na ya mafunzo ya JKT/Mgambo na mengineyo, na CV.
Nakala ya kitambulisho/namba ya NIDA/kitambulisho cha mpiga kura/leseni/ pasipoti ya kusafiria
MAOMBI YOTE YALETWE MOJA KWA MOJA KWENYE OFISI ZETU ZILIZOPO
Ubungo- External BR. maji chumvi, bonde la mchicha.
Mwisho tarehe 20/02/2025.
Mawasiliano;
+255680082954. +255719979784, +25587006119.
DOWNLOAD PDF HAPA CHINI
Leave a Comment