Nafasi 400 za Kazi Benki ya CRDB Kupitia NAD Insurance Agency 2025

Benki ya CRDB kupitia kwa wakala mkuu, NAD INSURANCE AGENCY, inatangaza nafasi za kazi 400 kwa ajili ya kuwafungulia akaunti za CRDB, kwa wateja wapya!

VIGEZO

Elimu kuanzia kidato cha nne

Namba ya NIDA au kitambulisho cha mpiga kura

Mwenye simu janja (Smartphone – Android)

Uchapakazi na uhodari kazini

Uaminifu

MALIPO

Kamisheni

Bonus

MAENEO YA KAZI

Mwanza | Simiyu | Kagera | Mara | Shinyanga | Geita | Kilimanjaro | Arusha | Manyara | Tanga

APPLY NOW

+255 741 516 831//+255 766 882 211 // +255 741 561 267 // +255 741 670 590 O hr@nad.co.tz

Leave a Comment