Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024.
PAKUA PDF HAPA CHINI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA 24-03-2025
Leave a Comment