Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imetokana na Idara kongwe ya Madini iliyoitwa Geological Survey Department (GSD). Idara hii ilianzishwa Mwaka 1925 na Mamlaka ya Utawala wa Makoloni ya Serikali ya Kikoloni ya Mwingereza (British Overseas Management Authority- BOMA).
Leave a Comment