Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Nafasi 8 za Kazi Shule ya Sekondari St. Joseph Allamano 2025

Nafasi 8 za Kazi Shule ya Sekondari St. Joseph Allamano 2025

Shule ya sekondari ST. JOSEPH ALLAMANO ni shule inayomilikiwa na Kanisa KATOLIKI Jimbo Kuu la Mbeya. Shule hii ni ya bweni kwa mchanganyiko wa wavulana na wasichana kwa kidato cha I- IV Shule inapatikana halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Kwa barabara kuu ya kutotka UYOLE kuelekea Kyela, unashukia mji mdogo wa USHIRIKA kisha unatumia usafiri wa pikipiki kwa umbali wa KM 6 kufika shuleni ST. JOSEPH ALLAMANO (KISSA MISSION)

MASOMO
1. Physics Vs Chemistry
2. Chemistry Vs Biology
3. History
4. Bible Knowledge
5. Basic Mathematics
6. Geography
7. Kiswahili
8. English language

Sifa za muombaji
 Awe na elimu ya Shahada (Degree).
 Awe jinsia yeyote kati ya me au ke.
 Awe mtanzania aliyesomea taaluma ya ualimu.
 Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika lugha ya kiingereza kwa ufasaha
 Awe mwenye bidii na kujituma pasi na kutumwa
 Awe mwenye nidhamu na mwenye kujawa na hofu ya Mungu

INTERVIEW

Interview (usaili) itafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 22/ 03/ 2025 saa 3:00 asubuhi shuleni Njoo na barua pamoja na viambata vya vyeti vya kitaaluma.

Mawasiliano:

0759603800
0762496250
0765903840

Leave a Comment