Nafasi 9 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Kufuatia kutolewa kwa Kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb Na. FA. 97/288/01/25 cha tarehe 29 April, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe anawatangazia nafasi ya kazi Watanzania wenye sifa na uwezo ya kujaza nafasi tisa (9): –

PAKUA PDF HAPA CHINI

 

Leave a Comment