Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira ya Mwandishi Mwendesha Ofisi daraja la II. Tangazo hili ni baada ya kupokea Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/C/067 cha tarehe 12/06/2024 toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.
PAKUA PDF HAPA CHINI
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 18-03-2025
Leave a Comment