Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Nafasi za Kazi Kampuni ya Kagera Sugar 2025

Nafasi za Kazi Kampuni ya Kagera Sugar 2025

TANGAZO LA NAFASI MBILI (2) ZA KAZI YA UDEREVA WA MAGARI MADOGO

KAMPUNI YA SUKARI KAGERA INAWATANGAZIA WATU WOTE WENYE UWEZO NA SIFA ZA KUTUMA MAOMBI KWA KAZI YA UDEREVA WA MAGARI MADOGO

MWOMBAJI AWE NA SIFA ZIFUATAZO;

1: AWE NA ELIMU YA UDEREVA KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIKA
2: AWE NA VYETI HALISI VYA UDEREVA VILIVYOHAKIKIWA (CERTIFIED CERTIFICATE)
3: AWE NA LESENI DARAJA D ILIYOTHIBITISHWA
4: AWE NA UZOEFU WA KAZI YA UDEREVA KUANZIA MUDA WA MIAKA MITANO NA KUENDELEA.
5: AWE NI RAIA WA TANZANIA
6: AWE HAJAWAHI KUFUKUZWA AMA KUACHISHWA KAZI KIMAKOSA
7: AWE NA KITAMBULISHO CHA NIDA PAMOJA NA TIN NAMBA VILVYO HAKIKIWA (CERTIFIED NIDA AND TIN NUMBER)

MAOMBI YOTE YAWASILISHWE OFISI YA AJIRA KAGERA SUGAR AMA YATUMWE KWA BARUA PEPE recruitment@kagera-sugar.co.tz

MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI. TAREHE 14/04/2025

Leave a Comment