Shule ya Sekondari Msufini, iliyopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, inatangaza nafasi ya kazi kwa mwalimu wa somo la CHEMISTRY NA BIOLOGY KIDATO CHA TANO NA SITA.
Sifa za Mwombaji:
a). Awe mhitimu wa Shahada ya Ualimu kutoka chuo kinachotambulika.
B). Awe amesoma masomo ya CHEMISTRY na BIOLOGY chuo
C). Awe na uwezo mzuri wa kufindisha ngazi zote za sekondari.
Usaili wa awamu ya kwanza (WRITTEN INTERVIEW) utafanyika siku ya Jumapili, tarehe 23/03/2025, katika Shule ya Sekondari Msufini. Muda wa interview utakua saa nane kamili mchana.
Thibitisha ushiriki wako kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) au ujumbe wa Whatsapp kwa namba 0759741104/0656830217/0765453641.
Barua ya maombi ikiwa na nakala zote muhimu za kitaaluma na maelezo binafsi (CV) Tuma kwenye namba zilizoorozeshwa hapo juu.
Maombi yote ya kazi yaelekezwe kwa:
MSUFINI SECONDARY SCHOOL
P.O.BOX 8903,
MOSHI
Usaili wa pili( teaching/ presentation) kwa watakaufaulu utafanyika pia shuleni msufini secondary.
Imetolewa na:
Uongozi wa Shule ya Sekondari Msufini
Leave a Comment