Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Nafasi za Kazi Shule Ya Sekondari Ya Wasichana St. Therese Mapinga

Nafasi za Kazi Shule Ya Sekondari Ya Wasichana St. Therese Mapinga

Shule Ya Sekondari Ya Wasichana St. Therese Mapinga- Iliyopo Wilayani Bagamoyo, Mkoa Wa Pwani Inatangaza Nafasi Ya Kazi Kitengo Cha LABARATORY TECHNICIAN (Mtaalamu Wa Maabara)

SIFA ZA MWOMBAJI

  1. Awe Amemaliza Stashahada Ya Maabara Au Shahada Ya Maabara.
  2. Mwenye Uzoefu Angalau Mwaka Mmoja Wa Kazi.
  3. Awe Jinsia Ya Kiume.

Kwa Mawasiliano Piga Simu No. 0652984232 Au Tuma Barua Ya Maombi Ukiambatanisha CV Na Vyeti Kwa Njia Ya WHATSAPP Ziwe Kwenye File Moja Au Tuma Kupitia Email Ya Shule sttheresemapinga2021@gmail.com

Mwisho Wa Kutuma Maombi Ni Tarehe 24/02/2025 Na Usaili Utafanyika Tarehe 25/02/2025.

Karibuni Sana.

DOWNLOAD PDF FILE

NAFASI YA KAZI ST THERESE MAPINGA SEC SCHOOL

Leave a Comment