Shule ya sekondari ST. JOSEPH ALLAMANO ni shule inayomilikiwa na Kanisa KATOLIKI Jimbo Kuu la Mbeya. Shule hii ni ya bweni kwa mchanganyiko wa wavulana na wasichana kwa kidato cha I- IV Shule inapatikana halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Kwa barabara kuu ya kutotka UYOLE kuelekea Kyela, unashukia mji mdogo wa USHIRIKA kisha unatumia usafiri wa pikipiki kwa umbali wa KM 6 kufika shuleni ST. JOSEPH ALLAMANO (KISSA MISSION)
MASOMO
1. Basic Mathematics
2. English language
Sifa za muombaji
Awe na elimu ya Shahada (Degree).
Awe jinsia yeyote kati ya me au ke.
Awe mtanzania aliyesomea taaluma ya ualimu.
Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika lugha ya kiingereza kwa ufasaha
Awe mwenye bidii na kujituma pasi na kutumwa
Awe mwenye nidhamu na mwenye kujawa na hofu ya Mungu
INTERVIEW
Interview (usaili) itafanyika siku ya Jumanne ya tarehe 01/04/ 2025 saa 3:00 asubuhi shuleni
Njoo na barua pamoja na viambata vya vyeti vya kitaaluma.
Mawasiliano: 0759603800
0762496250
0765903840

Leave a Comment