Nafasi za Kazi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

Kwa mujibu wa tanagzo lililotolewa na Tume leo tarehe 28 Juni, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima, R.K, nafasi  zilizotangazwa ni Wasimamizi au Wasimamizi wa Vituo cha Kupigia Kura na Karani Mwongozaji Wapiga Kura.

Sifa za waombaji, malipo, masharti na namna ya kutuma maombi vimeelezwa kwenye

PAKUA PDF HAPA

Leave a Comment