TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
AL-HUDA ENGLISH MEDIUM PRE&PRIMARY SCHOOL Inatangaza nafasi za kazi.
1.MWALIMU WA AWALI
AWE NA SIFA ZIFUATAZO -:
i/Awe na msingi wa elimu ya Montessori/Nursery
ii/Awe na Uwezo wa kuongea,kuandika na kusoma lugha ya kiingereza vizuri
iii/Akiwa na uzoefu wowote katika kufundisha masomo haya utazingatiwa pia.
iv/Awe na upendo na ukarimu kwa watoto.
2. MWALIMU WA DRS 1&2
AWE NA SIFA ZIFUATAZO.
I/Awe na Uwezo wa kuongea,kuandika na kusoma lugha ya kiingereza vizuri
ii/Awe na ngazi ya Cheti au Diploma ya ualimu.
lii/Awe na uzoefu wa kufundisha madarasa husika walau miaka 2.
Iv/Awe mwenye kuipenda kazi yake.
NB. Barua za maombi zitumwe kupitia Whatsup no. 0748 001 007.
Leave a Comment