TANGAZO LA KAZI ALPHA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL
Uongozi wa shule ya Alpha Adventist secondary school inayomilikiwa na kanisa la waadventista wa sa- bato Jimbo la Magharibi mwa Tanzania (WTC), iliyoko Chato mjini unatangaza nafasi ya kazi ya ualimu kwa walimu wenye masomo yafuatayo,
Physics -Mathematics (Bachelor) Commerce -Book keeping. (Bachelor)
Kwa mawasiliano zaid piga namba zifuatazo.
Mkuu wa shule 0789018811/0759487053.
Mwalimumwandamizi wa Taluma 0755814295/0615914295.
Waombaji wote watume maombi yao kwa barua pepe mafwelesabato@gmail.com.
Usaili utafanyika tarehe 10-12/02/2025, shuleni Alpha adventist.
Waombaji wote mnakaribishwa kwa masomo yaliyotajwa hapo juu.
Leave a Comment