TANGAZO NAFASI YA KAZI YA UALIMU
Shule ya Sekondari GOD’S BRIDGE SONGWE ni kati ya Shule zinazomilikiwa na kampuni ya GOD’S BRIDGE DEVELOPMENT FOUNDATION Co. Itd, shule inaendeshwa kwa misingi ya Imani ya Kanisa la Waadventista Wasabato; ni ya Bweni kwa Wavulana na Wasichana kwa kidato cha I- IV, ipo KM 3 kutoka standi ya mabasi VWAWA.
NAFASI
Uongozi wa shule unawatangazia
NAFASI YA KAZI YA UALIMU (02) Katika masomo ya BASIC MATHEMATICS na PHYSICS
SIFA ZA MUOMBAJI
> AWE NA ELIMU NGAZI YA STASHAHADA/SHAHADA katika masomo tajwa hapo juu.
> Barua ya maombi
> Vyeti Halisi pamoja na vivuli vyake
> Wasifu (CV)
> Awe amejiandaa kufundisha hilo somo.
> Awe na uzoefu wa kuanzia miaka miwili.
Fika shuleni God’s Bridge Songwe Sekondari- Vwawa Mbozi kwa ajili ya usaili, usaili utaanza saa 2:00 Asubuhi Jumatatu, 03/03/2025.

Leave a Comment