NAFASI ZA KAZI SHULE YA SEKONDARI IRINGA ADVENTIST
Nafasi Zinazotangazwa
Mwalimu wa Commerce & Bookkeeping(02)
Mwalimu wa Chemistry (01)
Mwalimu wa Geography(01)
Mwalimu wa English(01)
VIGEZO NA MASHARTI
Uwe mtu unae sali na kushuhudiwa na kiongozi wako kwa barua.
ยท uwe na angalau Diploma na kuendelea
Kuwa Master Guide au SYL ni sifa ya nyongeza.
Uwe na Umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 44.
Pia waweza kutuma maombl kwa WhatsApp Namba. 0621083847
Mwisho wa Maombi 25/02/2025
Maombi yenye barua,wasifu na nakala za vyeti yatumwe
Mkuu wa shule,
Iringa Adventist,
Sekondari,S.L.P 2557,IRINGA.
Iringaadventist2021@gmail.com

Leave a Comment