Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Nafasi za Kazi Ualimu Shule ya Sekondari Murutunguru 2025

Nafasi za Kazi Ualimu Shule ya Sekondari Murutunguru 2025

SHULE YA SEKONDARI MURUTUNGURU INAYOMILIKIWA NA KANISA KATOLIKI JIMBO LA BUNDA ILIYOKO WILAYA YA UKEREWE MKOA WA MWANZA INAWATANGAZIA WATU WOTE NAFASI YA KAZI YA:

MWALIMU WA:

PHYSICS na BASIC MATHEMATICS

CHEMISTRY na BASIC MATHEMATICS

KWA WOTE WENYE SIFA WAFIKE SHULENI MURUTUNGURU TAREHE 25/04/2025, IJUMAA KWA AJILI YA USAILI KUANZIA SAA 3.00 ASUBUHI.

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA

+255-744 943 976 – Mkuu wa shule

+255 762 088 517 -Mtaaluma

NB: Fika na vyeti vyako halisi pamoja na CV siku ya usaili

Leave a Comment