TANGAZO NAFASI YA KAZI YA UALIMU
Shule ya sekondari ST. JOSEPH ALLAMANO ni shule inayomilikiwa na Kanisa KATOLIKI Jimbo K uu la Mbeya. Shule hii ni ya bweni kwa mchanganyiko wa wavulana na wasichana kwa kidato cha l- IV Shule inapatikana halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Kwa barabara kuu ya kutotka UYOLE kuelekea Kyela, unashukia mji mdogo wa USHIRIKA kisha unatumia usafiri wa pikipiki kwa umbali wa KM 6 kufika shuleni ST. JOSEPH ALLAMANO (KISSA MISSION)
MASOMO
1. Chemistry
2. Bible Knowledge
Leave a Comment