Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Orodha ya Vyuo Vilivyokubaliwa Kutoa Mafuzo Yenye Ufadhili wa Serikali Nafasi 8000 

Orodha ya Vyuo Vilivyokubaliwa Kutoa Mafuzo Yenye Ufadhili wa Serikali Nafasi 8000 

Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu inatekeleza Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayolenga kuwezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira. Ofisi imeingia makubaliano na vyuo 52 vinavyotoa mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimesajiliwa na Mamlaka husika kutoa mafunzo katika fani mbalimbali zikijumuisha ubunifu wa Mitindo na Ushonaji Nguo, Ufundi Bomba, Uashi, Useremala, Uchomeleaji na uungaji vyuma, Upakaji rangi na maandishi ya alama, Upishi, Utengenezaji wa vipuri vya mitambo, Ufundi Magari na Mitambo, umeme wa majumbani na viwandani, Umeme wa Magari, Huduma za Hoteli na Utalii, Ukataji Madini na Ufundi vyuma.

Ofisi inapenda kuwatangazia vijana wa Kitanzania wenye umri kati ya miaka 15 hadi 35 wanaopenda kujiunga na mafunzo katika mojawapo ya fani
zilizoorodheshwa hapo chini wafike katika vyuo vya VETA vya Mikoa na Wilaya pamoja na vyuo vilivyoainishwa hapa chini ili kuchukua fomu ya
kuomba kujiunga na mafunzo. Serikali itafadhili ada ya mafunzo kwa asilimia 100. Mwanafunzi / mzazi / mlezi atagharamia gharama nyingine zikijumuisha nauli ya kwenda chuoni na kurudi nyumbani. Mafunzo yataanza tarehe 03 Machi, 2025 na yatakua ya kutwa. Mwombaji anashauriwa kuomba mafunzo haya katika chuo kilicho katika Mkoa anaoishi.

Vituo vilivyokubalika na Serikali kutoa mafunzo hayo na fani zake vimeambatishwa.

Soma zaidi Kuhusu Mafuzo haya

ORODHA YA VYUO VILIVYOKUBALIKA NA SERIKALI KUTOA MAFUNZO

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
1 Arusha Chuo cha Taifa cha Utalii Kampasi ya Arusha Upishi
Uokaji Mikate, keki
Huduma ya Chakula na Vinywaji
Mapokezi
Huduma za Ndani na Utunzaji wa

vyumba vya wageni

Utalii na Usafirishaji
Kuongoza Watalii
VETA Arusha VTC Umeme wa Majumbani
Ufundi Bomba
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Magari
Umeme wa magari
Uungaji na Uchomeleaji vyuma
2 Dar es salaam Don Bosco Vocational Training Centre – Oysterbay Ufundi magari
Useremala
Upishi
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Uchongaji vipuri
Umeme wa majumbani
Umeme wa jua
Ubunifu na ushonaji wa nguo
Chuo cha Marendeleo ya Wananchi Kigamboni Umeme wa majumbani
Umeme wa magari
Ufundi magari
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi bomba
Ubunifu na ushonaji wa nguo
3 Dodoma Don Bosco Technical Institute – Dodoma Ufundi magari
Ufundi bomba
Upishi
Huduma ya Chakula kula na vinywaji

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
Uchongaji vipuri
Umeme wa majumbani
Umeme wa jua
Ubunifu na ushonaji wa nguo
Institute of Heavy Equipment and Technology (IHET) Ufundi wa mitambo
Uendeshaji wa mitambo
Umeme wa magari
Ufundi magari
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Chisalu Ubunifu na ushonaji wa nguo
Uashi
Ufundi Umeme
Ufugaji wa wanyama na nyuki
4 Geita Geita Vocational Training Centre Ufundi umeme
Ufundi magari
Ufundi bomba
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ubinifu na Ushonaji wa nguo
5 Iringa Don Bosco Youth Training Centre, Iringa Ufundi magari
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi umeme
Mafinga Lutheran VTC Ufundi umeme
Useremala
Ufundi Magari
Nishati Jadidika
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Upishi
Ufundi Bomba
Uchomeleaji na Uungaji Vyuma
6 Kagera Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ngara Useremala
Uashi
Ubunifu na ushonaji wa nguo
Ufundi Umeme
Kashozi Home Craft Vocation Training Centre Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Upishi
Uchomeleaji na uungaji vyuma
VETA Karagwe Ubinifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi magari
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi Umeme
Ufundi wa kielektroniki
umeme wa magari

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
Upishi
7 Katavi VETA Mpanda VTC Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Uashi
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi Umeme
Ufundi magari na mitambo
8 Kigoma Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kibondo Ufundi Umeme
Ufundi magari
Ufundi bomba
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kasulu Ufundi Umeme
Uchomeleaji na Uungaji wa Vyuma
Umeme wa Magari
Ufundi bomba
Uashi
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Magari
9 Kilimanjaro Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mamtukuna Ufundi magari
Ufundi Umeme
Ubunifu na ushonaji wa nguo
Marangu School of Tourism and Vocational Training Kuongoza watalii
Upishi
Huduma za chakula na vinywaji
Ufundi Umeme
Ususi na urembo
Mapokezi
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Same Ufundi Magari
Ufundi Umeme
Umeme wa Magari
Upishi
10 Lindi VETA Lindi RVTSC Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi bomba
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi magari na mitambo
Ufundi umeme
Umeme wa magari
Upishi
Huduma ya Chakula na vinywaji
VETA Ruangwa DVTC Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Umeme

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
Uashi
Ufundi magari
11 Manyara VETA Manyara RVTSC Ufundi magari
Ufundi Umeme
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi zana za kilimo na mitambo
12 Mara Musoma Utalii Training college Upishi
Kuongoza Watalii
ST. Anthony Vocational Training Centre Upishi
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Uashi
Ufundi Umeme
Ufundi wa magari
Ufundi bomba
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Umeme wa magari
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Tarime Ufundi Umeme
Ubunifu na ushonaji wa nguo
Mifugo
Useremala
Ufundi magari
Ufundi bomba
13 Mbeya Chuo cha Ufundi cha Magereza Ruanda Seremala
Uashi
Ufundi bomba
Ufundi Umeme
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi rangi
Uchomeleaji na Uunagji vyuma
Kyela Polytechnic College Ufundi Umeme
Useremala
Ufundi Magari
Uchomeleaji na Uungaji Vyuma
Ususi na Urembo
Upishi
Ufundi Aluminium & PVC
Uwekaji Marumaru na Vigae
VETA Busokelo DVTC Useremala
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Umeme
Chuo Kikuu cha Sayansi Uchomeleaji na uungaji vyuma

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
na Teknolojia Mbeya (MUST) Ufundi magari
Ufundi wa Viyoyozi na Majokofu
Ufundi umeme wa magari
Ufundi Umeme
Ufundi wa marumaru na terazo
Uashi
Ufundi bomba
Ufundi vifaa vya aluminium na PVC
Upambaji
Upakaji rangi na maandishi ya alama
Utengenezaji wa vipuri vya mitambo
14 Morogoro Chuo cha Mafunzo Stadi

– Garisa

Umeme wa Magari
Ufundi wa Magari
Saluni , Mapambo , Ususi na Urembo
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Mapishi na Ukarimu
Lakewood Training Institute Kuongoza Watalii
Ufundi Umeme
15 Mtwara Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mtawanya Ufundi Umeme
Uashi
Uchomeleaji na Uungaji vyuma
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Masasi Ufundi wa Magari
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi bomba
Uashi
Useremala
Ufundi Umeme
16 Mwanza Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya Ufundi bomba
Ufundi Umeme
Ufundi magari
Uashi
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Sengerema Ufundi meme
Uchomeleaji na Uunagji vyuma
Ufundi wa Magari
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Bomba
Umeme wa Magari
VETA Mwanza RVTSC Ufundi Umeme
Uchomeleaji na uungaji vyuma

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
Ufundi bomba
Ufundi umeme wa magari
Upishi
Huduma ya chakula na vinywaji
Usafi na utunzaji wa vyumba vya

Wageni

Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Upakaji rangi na uandishi wa alama
Ukarabati wa mashine za kuchakata pamba
Ufundi magari
Aluminium works
Uashi
17 Pwani VETA Pwani RVTSC Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi magari
Ufundi Umeme
Vikindu Catholic Polytechnic College Ufundi Umeme
Upishi
Umeme wa Magari
Uundaji na Uungaji Vyuma
Ufundi bomba na uunganishaji
Ufundi viyoyozi wa majengo na magari
Ufundi rangi na Uchoraji
Ufundi wa Umeme wa Jua
Uashi
18 Rukwa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Chala Ufundi Umeme
Ushonaji
Umeme wa magari
Uashi
Ufundi magari
19 Ruvuma Chuo cha Ufundi Stadi Mpapa Useremala
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Umeme
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Chipole Vocational Training Centre Ufundi bomba
Ufundi magari na mitambo
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Umeme wa majumbani na Viwandani
Uashi
Uchomeleaji na uungaji vyuma

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
Peramiho Vocational Training Centre Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi bomba
Uashi
Useremala
Ufundi magari
Ufundi Umeme
Chuo cha Songea VTC Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi bomba
Uashi
uchomeleaji na uungaji vyuma
Ufundi magari
Ufundi Umeme
Umeme wa magari
20 Shinyanga Hill Forest College Mapokezi
St. Francis de Sales Vocational Training Center Ufundi Umeme
Ufundi Bomba
Ufundi Magari
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Uchomeleaji na uungaji vyuma
Saluni na mapambo
21 Singida Chuo cha Ufundi na Marekebisho kwa watu wenye Ulemavu Sabasaba Ususi na urembo
Uokaji keki na mikate
Umeme wa Majumbani
Uchomeleaji
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
RC Mission Vocational Training Centre Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi wa magari na mitambo
Ufundi Umeme
Umeme wa magari
22 Tabora Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Nzega Ufundi Umeme
Ufundi magari
Ufundi bomba
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Useremala
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Sikonge Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Ufundi Bomba
Uashi
Ufundi Umeme
Uchomeleaji na Uungaji vyuma
Chuo cha Maendeleo ya Ufundi bomba

 

NA. MKOA JINA LA CHUO FANI ZILIZOKUBALIWA KUFUNDISHWA
Jamii Kaliua Ufundi Umeme
23 Tanga St. Patrick’s Vocational Training Centre Ufundi magari
Umeme wa magari
Ufundi Umeme
Ubunifu na Ushonaji wa nguo
Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Handeni Umeme wa majumbani
Uashi
Ufundi bomba
Uchomeleaji na uungaji vyuma

 

Leave a Comment