Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Dar es salam, Pwani na Zanzibar linawajulisha wateja wake kuwa, Shirika linatarajia kufanya matengenezo ya umeme kwenye Kituo kikubwa cha Ubungo kwa ajili ya kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme kwa wateja wake kufuatia ongezeko la mahitaji ya matumizi ya umeme katika maeneo ya mikoa wa Dar es Salaam, Pwani na Zanzibar.
Hivyo baadhi ya wateja wa maeneo yafuatayo katika maeneo watakosa huduma ya umeme ili kufanya matengenezo hayo kama ifuatavyo:-
Leave a Comment