Notice: Function _load_textdomain_just_in_time was called incorrectly. Translation loading for the post-views-counter domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /www/wwwroot/net.wazaelimu.com/wp-includes/functions.php on line 6131
Ratiba ya Mechi Zote za Yanga Ligi Kuu 2025

Ratiba ya Mechi Zote za Yanga Ligi Kuu 2025

Ratiba ya Yanga msimu huu NBC Premier League 2024/25: Kuelekea Msimu mpya wa Ligi Kuu tumekuandalia ratiba nzima ya Timu ya Wananchi “Young Africans”, ratiba itakuwa inafanyiwa marekebisho kulingana na utaratibu wa bodi ya Ligi ya Tanzania. Yanga Sc inaenda Kuanza Msimu kutetea taji lao, kama bingwa wa Tanzania.

Yanga itakutana na Simba katika mshindano ya Ngao ya Jamii 16/8/2024.

Ratiba ya Yanga NBC Premier league 2024/2025

 

 

 

 

 

Ratiba Kamili ya Mechi za Yanga SC – Februari 2025

Na. Mechi Tarehe Muda Uwanja
1 Yanga SC vs Mtibwa Sugar 1 Februari 2025 Saa 10:00 jioni Nyumbani
2 Yanga SC vs Ken Gold 5 Februari 2025 Saa 10:15 jioni Nyumbani
3 JKT Tanzania vs Yanga SC 10 Februari 2025 Saa 10:15 jioni Ugenini
4 KMC vs Yanga SC 14 Februari 2025 Saa 10:15 jioni Ugenini
5 Yanga SC vs Singida Big Stars 17 Februari 2025 Saa 10:00 jioni Nyumbani
6 Mashujaa FC vs Yanga SC 23 Februari 2025 Saa 10:15 jioni Ugenini
7 Gwambina FC vs Yanga SC 28 Februari 2025 Saa 10:15 jioni Ugenini

Ratiba ya Mechi za Yanga SC 2024/2025 (Ligi Kuu NBC)

Tarehe Saa Timu Mwenyeji Timu Mgeni Uwanja
29 Septemba 2024 21:00 Yanga SC KMC FC Benjamin Mkapa
3 Oktoba 2024 18:30 Yanga SC Pamba Jiji Benjamin Mkapa
19 Oktoba 2024 17:00 Simba SC Yanga SC Benjamin Mkapa
22 Oktoba 2024 19:00 Yanga SC JKT Tanzania Benjamin Mkapa
Imeahirishwa TBD Yanga SC Tabora United Benjamin Mkapa
Imeahirishwa TBD Coastal Union Yanga SC Mkwakwani
Imeahirishwa TBD Yanga SC Azam FC Benjamin Mkapa
21 Novemba 2024 19:00 Yanga SC Singida Big Stars Benjamin Mkapa
1 Desemba 2024 19:00 Namungo FC Yanga SC Majaliwa Stadium
Imeahirishwa TBD Yanga SC Tanzania Prisons Benjamin Mkapa
Imeahirishwa TBD Dodoma Jiji FC Yanga SC Jamhuri Stadium
22 Desemba 2024 18:30 Yanga SC Kagera Sugar Benjamin Mkapa
29 Desemba 2024 19:00 Yanga SC KenGold FC Benjamin Mkapa
20 Januari 2025 16:15 JKT Tanzania Yanga SC JKT Ruvu Stadium
26 Januari 2025 16:15 KMC FC Yanga SC Uhuru Stadium
1 Februari 2025 19:00 Yanga SC Singida Black Stars Benjamin Mkapa
16 Februari 2025 16:15 Mashujaa FC Yanga SC Lake Tanganyika Stadium
22 Februari 2025 16:15 Pamba Jiji Yanga SC CCM Kirumba
1 Machi 2025 17:00 Yanga SC Simba SC Benjamin Mkapa
9 Machi 2025 16:15 Tabora United Yanga SC Ali Hassan Mwinyi Stadium
30 Machi 2025 18:00 Yanga SC Coastal Union Benjamin Mkapa
12 Aprili 2025 18:30 Azam FC Yanga SC Chamazi Complex
Imeahirishwa TBD Singida Big Stars Yanga SC Liti Stadium
4 Mei 2025 19:00 Yanga SC Namungo FC Benjamin Mkapa
17 Mei 2025 16:00 Tanzania Prisons Yanga SC Sokoine Stadium
24 Mei 2025 16:00 Yanga SC Dodoma Jiji Benjamin Mkapa

Leave a Comment