Baraza la Mitihani Tanzania limetoa ratiba ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) kwa mwaka 2025. Ratiba inaonyesha mtihani utaanza tarehe 10.09.2025 na kuisha 11.09.2025 ALHAMISI.
Pakua ratiba hapa>> PSLE 2025 EXAM TIMETABLE
Baraza la Mitihani la Tanzania – National Examinations Council of Tanzania (NECTA linajukumu la kusimamia mitihani yote inayotolewa kitaifa. Linasimamia Mitihani ya Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA), Mitihani ya Kuhitimu Shule ya Msingi (PSLE), Mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Pili (FTNA), Qualifying Test (QT), Mitihani ya Kitaifa ya kidato cha nne (CSEE), Mitihani ya Kitaifa ya kidato cha sita (ACSEE), Mtihani wa Cheti cha Ualimu Daraja A (GATCE) N.K.
Leave a Comment