Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ratiba ya mtihani wa Kidato cha Sita 2025. Ratiba inaonyesha mtihani utaanza 05/05/2025 na kuisha 26/05/2025. Hivyo mtihani wa kidato cha sita mwaka 2025 utaanza jumatatu ya tarehe 05/05/2025.
Jinsi ya Kupata Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita
Step 1: Tembelea tovuti ya NECTA: https://necta.go.tz/
Step 2: Nenda sehemu ya matangazo
Step 3: Na ubonyeze “ACSEE 2025 EXAM TIMETABLE”
Step 4: Ratiba itapakuliwa na kuingia katikansimu yako au Komyuta.
Leave a Comment