Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025
Klabu ya Simba imefanikiwa kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF msimu wa 2024/2025. Simba imefainikiwa kuingia hatua ya robo fainaili ikiwa inaongoza kundi “A” ikiwa na point kumi na tatu(13)
| Nafasi | Klabu | ||||||||
| 1 | Simba | 6 | 4 | 1 | 1 | 8 | 4 | 4 | 13 |
| 2 | CS Constantine | 6 | 4 | 0 | 2 | 12 | 6 | 6 | 12 |
| 3 | Bravos do Maquis | 6 | 2 | 1 | 3 | 7 | 14 | -7 | 7 |
| 4 | CS Sfaxien | 6 | 1 | 0 | 5 | 7 | 10 | -3 | 3 |
Ratiba Ya Simba Robo Fainali Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025
Mechi ya Kwanza: Al Masry dhidi ya Simba SC – Uwanja wa Suez Stadium, Egypt. Tarehe: 1-2 April 2025
Mechi ya Marudiano: Simba SC dhidi ya Al Masry- Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam. Tarehe: 8-9 April 2025.

Leave a Comment