Tiba Kwa Njia ya Mazoezi (Physiotherapy) Ni tiba kwa njia ya mazoezi ili kurudisha utendaji kazi wa viungo baada ya upasuaji au baada ya ajali au kuumwa magonjwa ya aina ingine kwa mdua mrefu.
Baadhi ya Vyuo vinavyotoa kozi ya Tiba Kwa Njia ya Mazoezi (Physiotherapy)
KICHAS (KCMC) Kilimanjaro Christian Medical College, .
City College
HISANI College
Tandabuhi
Sifa za Kujiunga KOzi ya Tiba Kwa Njia ya Mazoezi (Physiotherapy)
Mwanafunzi anatakiwa awe na Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) na angalau alama nne (4) za kupita katika masomo yasiyo ya kidini ikiwa ni pamoja na Kemia, Baiolojia, na Fizikia/ Sayansi za Uhandisi.
Biology D
Chemistry D
Physics D
English D
Na ufaulu zadi ya huo Kama una Ufaulu katika Hisabati na Lugha ya Kiingereza unajiongezea nafasi zaidi.
Leave a Comment