Kozi hii ya maabara itakupa utaalamu wa kuweza kutumia vifaa na vipimo maalum kubaini maradhi, aina za chembechembe katika mwili ambazo hazionekani kwa macho.
Vyuo Vinavyotoa Kozi ya Maabara (Laboratory Sciences)
- ST. JOHNS UNIVERSITY OF TANZANIA (SJ) – Dodoma
- BISHOP NICODEMUS HHANDO COLLEGE OF HEALTH SCIENCES- Manyara
- MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO – Morogoro
- EXCELLENT COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES – DAR ES SALAAM
- ST. AGGREY COLLEGE OF HEALTH SCIENCE – Mbeya
Sifa Za Kujiunga Na Kozi Ya Maabara (Laboratory Sciences)
Walio hitimu na kupata Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) wenye ufaulu (Alama D) wa masomo manne (4) yasiyo ya kidini ikiwemo Kemia, Biolojia na Fizikia/Sayansi ya Uhandisi.
Kama una Ufaulu katika Hisabati na Lugha ya Kiingereza unajiongezea nafasi zaidi.
Leave a Comment